Hakuna watu wajinga kama watanganyika. Jina la nchi yao wanaliona kama tusi. Kule zanzibar wanajisikia fahari kuita nchi yao zanzibarsio Tanzania bara ? kama wanavyoiita 😁
Asili ya jina la Tanganyika ipi ?GT.
Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu.
Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa. Tuitambulishe tena nchi yetu.
Yapo mengi yasiyosahaulika nchi hii na Tanganyika ni moja wapo.
View attachment 3539719
Nyerere kauza jina la Tanganyika sasa halitambuliki tenaGT.
Naelewa huku kuna Special Threads nyinginyingi. Hata hivyo sikuwahi kukutana na Special Thread inayohusu Tanganyika, nchi ya mama wa mama yangu na ya baba wa baba yangu.
Kama ipo hiyo thread, ninaomba mods muunganishe uzi wangu. Kama haipo basi Watanganyika wote na mkaribishwe hapa. Tuitambulishe tena nchi yetu.
Yapo mengi yasiyosahaulika nchi hii na Tanganyika ni moja wapo.
View attachment 3539719
Hakuna watu wajinga kama watanganyika. Jina la nchi yao wanaliona kama tusi. Kule zanzibar wanajisikia fahari kuita nchi yao zanzibar
Ni gani chalii.Nchi ya wapumbavu..... Ukabila na chuki kwa ukanda. Kaskazini inachukiwa bila sababu Zanzibar wakiwafurusha mnaanza kuhusisha ujinga. KASKAZINI ITENGWE TU TUJUE...... Kaskazini hatupo danganyika ya wapumbavu na malofa.
Arf Kuna na kawilaya sijuh huko katavi et ndo kanaitwa Tanganyikahapa bara neno "tanganyika" linasikika angalau ikitajwa TLS, IST na tanganyika packers
tofauti na hapo huwa wanasema tanzania bara, tanganyika lilishajifia, limeibuka kwa nguvu hapa kati baada ya maza kizimkaz kuishika ikulu,
naam tunaongeza na hiyoArf Kuna na kawilaya sijuh huko katavi et ndo kanaitwa Tanganyika