Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya. Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.
Njia Rahisi ya kuidumisha Tanzania ni kuzuia kuzaliwa upya kwa Tanganyika na wakati huo huo kuhalalisha kumezwa kwa Zanzibar. Kuzuia kurudi kwa Tanganyika na kuhalalisha Kumezwa kwa Zanzibar si jambo linalowezekanika kufanywa kwa HIYARI, lakini ni muhimu likafanyika.
Mimi ni Mtanzania!!
Mwakani tutapiga kura ya maoni kuamua aina ya Nchi na Taifa tunalotaka kuwa nalo kupitia Katiba Mpya.
Kwa maoni yangu ni muhimu kuudumisha Muungano uliopo kwani kuuvunja Muungano tulio nao madhara na taadhira zake hatuna viongozi wa kisiasa wenye uwezo wa kuzihimili. Pakstan na India au Sudan na Sudan Kusini ni mifano hai ambayo haiwezi kupuuzwa. Na hata leo hii Eritrea na Ethiopia bado wana mtifuano na hata ukiwageukia majirani zao wa Somalia na Somaliland nao pia hawakai wakatulia.

nngu007 sidhani kama ni busara kuachia Mustakabali wa nchi yetu mikononi mwa majaaliwa ya Mwenyezi mungu. Hao watakaotoka Zanzibar baada ya visiwa vyao kumezwa na Bahari wakija huku tutawapokea kama wakimbizi au wananchi wenzetu wa nchi moja taifa moja?
m4cjb unadhani CCM wanataka serikali moja? Unajua kwamba Option ya kwanza ya CHADEMA badala ya kuwa na serikali tatu ni serikali moja!? Fikiria kuwa na Federal Government yenye majimbo yanayojiendesha yenyewe huko si ndiko CHADEMA inakotaka kwenda? au umeandika M4C bila hata kujua hiyo M4C inasimamia nini!!??
nngu007.
Usiogope Mwanajamii Kabla ya Tanganyika haijajikwapua kuila ZANZIBAR kuna MLAFI anayepeperushwa na MWENYEZI MUNGU kwa jina la GLOBAL WARMING... Yeye anainyemelea ZANZIBAR kwa UDI na UVUNDA...
nngu007.
[FONT=lucida
console]kwa UDI na
UVUNDA[/FONT][FONT=lucida
console]... = UDI NA
[/FONT][FONT=lucida
console]UVUMBA
[/FONT]Udi =
Incense of aloe wood.
Uvumba = Incense.
Kwa Udi na Uvumba = By all means,
by hooks and crooks.
There is no incense for something rottingla kuvunda halina ubani!
Usiogope Mwanajamii Kabla ya Tanganyika haijajikwapua kuila ZANZIBAR kuna MLAFI anayepeperushwa na MWENYEZI MUNGU kwa jina la GLOBAL WARMING... Yeye anainyemelea ZANZIBAR kwa UDI na UVUNDA...
Nadhani Umetembelea Maeneo yenye VISIMA vya MAJI ZANZIBAR maji sasa ni ya CHUMVI unajua nani huyo anavamia? GLOBAL WARMING angalia Bandari ya ZANZIBAR Umeona wanataka either kuihamisha au kuijenga ndani zaidi sababu inamomonyoka sababu ardhi ina liwa na GLOBAL WARMING
Kwahiyo kama MIMI ni wewe ningemkumbatia TANGANYIKA angalau akupatie kiardhi cha kukimbilia kuliko kumsengenya