Tanganyika inachunwa na Zanzibar

Huu muungano wakati Nyerere anaingia sijui lengo kuu lilikuwa Nini? Aliogopa waarabu kurudi Zanzibar au aliwaza Nini? Maana ni fika karume ndo alifaidika zaidi yake
 
Tuna muungano wa hovyo sana wa changu changu, chako changu. Zanzibar kwa Tanganyika ni kama kupe tu. Hakuna namna nyingine unaweza kuielezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…