Mkuu Negembo.
Tanganyika ipo imepewa jina jipya kinyemela tu. Leo inaitwa Tanzania bara au bara. Kama umeyasikia majina haya kutumika basi ndio majina m-badala ya Tanganyika.
Jina Tanzania pia limehifadhi ndani yake jina Tanganyika... Tan ni kifupi cha Tanganyika.
Pia ipo hii
About Tanganyika Law society
Pia kuna mambo ambayo si ya Muungano, haya mambo ni mambo ya Tanganyika...Mwalimu na Warioba ndio walikuja na jina la Tanzania bara walipokuja na Katiba ya 1977.
Kwa kawaida hakuna muungano unaoua washirika wake au kuwabadilisha majina, hii case ya Tanzania ni ya kimaajabu, kiini macho au mazingaombwe.
Hata ukipitia ile hati inayoitwa.. The article of the Union between Tanganyika and Zanzibar inasema
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar
shall remain in force in their respective territories subject-
Yahoo! Groups