mawe craft
Member
- Mar 10, 2015
- 24
- 9
yako polished? weka picha mkuu
Mkuu haya ni mawe halisi,muundo wake niwa slate na hujulikana kama slate stones na nimaarufu kama Tanga stones kwa sababu hupatikana zaidi mkoa wa Tanga. Kwa kifupi ni mawe ambayo hutumika kwa urembo wa nyumba na maofisi,yanapendeza sana kwa finishing,unaweza kutumia chini badala ya pavers blocks,unaweza kutumia kwenye kuta za fensi vile vile unaweza kutumia kama tiles za jikoni,sebuleni,bafuni n.k kulingana na matakwa yako
Ahsante nimeshayafahamu.
Tuombeane kheri.
Hayajawa polished, kwasababu kwanza kuna polish tofauti tofauti hivyo kufanya mteja awe na choice tofauti,zipo polish ambazo ukipaka zitabadilisha uhalisia wa jiwe,zipo polish ambazo Zita ya ng'aza mawe lakini yakabaki kuwa na muonekano halisi usio na shaka. haya yote ni matakwa ya Wateja ndio maana hayawi polished Nani vizuri zaidi kama yakiwa polished site,baada ya kujengewa tayari hapo hupendeza zaidi.
polishing niliyokuwa nasemea siyo ya kupaka mkuu, ya kugrind.