Wana JF,
Kumekuwa na mjadala mkubwa hapa ya kuwa dawa za kulevya haziteketezwi na baadhi yetu tumekwenda mbali na kuwa sisi ndio majaji na wanasheria na kujiona wakuu wa kulaumu haya sasa kiasi hiko kimeteketezwa Tanga.
"Mahakama kuu kanda ya Tanga yateketeza kilo 48 za dawa za kulevya katika tanuru la kiwanda cha kutengeneza saruji cha Rhino kilichopo jijini Tanga chini ya ulinzi mkali wa polisi na kushuhudiwa na wanasheria wakiongozwa na jaji wa Mahakama kuu kanda ya Tanga mheshimiwa Upendo Msuya"
Chanzo : ITV