D doris mwakitalima New Member Joined Apr 6, 2014 Posts 3 Reaction score 0 Apr 9, 2014 #1 Sina umeme wiki ya pili.na nimehakikishiwa mkono ukiendelea kua mfupi hawaji ng'o. naona huu msemo unaelekea kua kweli.sa nifanyeje.
Sina umeme wiki ya pili.na nimehakikishiwa mkono ukiendelea kua mfupi hawaji ng'o. naona huu msemo unaelekea kua kweli.sa nifanyeje.
Kugeuka JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 333 Reaction score 225 Apr 9, 2014 #2 Nchi ishauzwa hii ndugu!!
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,352 Reaction score 9,093 Apr 9, 2014 #3 Kumetokea tatizo gani na upo wapi?
M Mr.Mak JF-Expert Member Joined Feb 23, 2011 Posts 2,841 Reaction score 1,105 Apr 9, 2014 #4 Rushwa ni haram usitoe wala usipokee. Hakuna dini hata moja inayoruhusu rushwa. We waache tu hao watakuja wenyewe. Na kama wanakufanyia makusudi watapata dhambi.
Rushwa ni haram usitoe wala usipokee. Hakuna dini hata moja inayoruhusu rushwa. We waache tu hao watakuja wenyewe. Na kama wanakufanyia makusudi watapata dhambi.
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,897 Apr 9, 2014 #5 doris mwakitalima said: Sina umeme wiki ya pili.na nimehakikishiwa mkono ukiendelea kua mfupi hawaji ng'o. naona huu msemo unaelekea kua kweli.sa nifanyeje. Click to expand... Rudi kwenu mbeya si kuna umeme?.
doris mwakitalima said: Sina umeme wiki ya pili.na nimehakikishiwa mkono ukiendelea kua mfupi hawaji ng'o. naona huu msemo unaelekea kua kweli.sa nifanyeje. Click to expand... Rudi kwenu mbeya si kuna umeme?.