Tanesco

Tanesco

doris mwakitalima

New Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
3
Reaction score
0
Sina umeme wiki ya pili.na nimehakikishiwa mkono ukiendelea kua mfupi hawaji ng'o. naona huu msemo unaelekea kua kweli.sa nifanyeje.
 
Rushwa ni haram usitoe wala usipokee.

Hakuna dini hata moja inayoruhusu rushwa.

We waache tu hao watakuja wenyewe. Na kama wanakufanyia makusudi watapata dhambi.
 
Back
Top Bottom