mkuu inaonyesha wewe hapa ni Mgeni hii Thread yako haiusiani na hapa ulipo weka. Kwa sababu hapa ni mahali pa ( JF Doctor) ingelipendeza uweke hii thread yako kwenye Sehemu ya ( Habari na Hoja mchanganyiko)Mkuu MODERATOR nakuomba uitowe hii Thread uipeleke huko kwenye ( Habari na Hoja mchanganyiko) hapa sipo mahali pake asante Mkuu wangu MODERATOR nakutakia kazi njema.