Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,278
- 25,846
Rais John P. J. Magufuli amelipiga marufuku Shirika la Ugavi wa Umeme nchini-TANESCO kukodi mitambo ya kufua umeme na badala yake wajenge mitambo yao.
Akizindua Mtambo wa Umeme wa Kinyerezi II jijini Dar es Salaam,Rais
Magufuli amesema hatarajii TANESCO waombe kuongeza muda wa kukodi mitambo ya kuzalisha umeme. Kimsingi,muda wa mkataba wa IPTL unahesabika.