Inadaiwa na nani?
Hivi kwanini tanesco wasizalishe umeme wenyewe?!!..Na makampuni yanayo zalisha umeme na kuizia tanesco.
Kuna kampuni moja hivi nimeisahau jina kidogo tanesco wamewahi kuwaagiza mitambo ya kufua umeme wale jamaa waliileta mitambo na walipo ileta ile mitambo tanesco lile swala ndio wakalipeleka bungeni. na bunge likakataa kuinunua ile mitambo.Na makampuni yanayo zalisha umeme na kuizia tanesco.