Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?
Mimi sio mtaalamu katika fani hii ila nimeangalia kwa mtizamo ufuatao,unanunua luku unaingiza namba kwenye remote na ikikubalika unakwa tayari umeunganishwa.inabidi wabadili meter KWANZA iwe na 'facility' ya kufanya huo ujinga
gharama za kubadili izo mita kwa sasa Tanesco hawawezi afford plus kuna 10% itapotea kwa watu flani flani
elewa kitu kimoja, mita za sasa za Tanesco haziwezi fanya iyo kitu, lazima WABADILI mita KWANZA,Mimi sio mtaalamu katika fani hii ila nimeangalia kwa mtizamo ufuatao,unanunua luku unaingiza namba kwenye remote na ikikubalika unakwa tayari umeunganishwa.Kwa mantiki hiyo kuna connection kati ya meter na server ya Tanesco na kwa ujinga wangu niliwaza kuwa kama inawezekana watutengenezee app za NMB bank ili kila mwenye mita aweze kuunganishwa na server ya Tanesco.Just thinking aloud
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.elewa kitu kimoja, mita za sasa za Tanesco haziwezi fanya iyo kitu, lazima WABADILI mita KWANZA,
na hawako tayari kuingia iyo gharama kwa sasa
Katika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?
App zote za taasisi za serikali zinakuaga za kijinga sana. Hazifanyagi kaz vizuri. Kma app ya ttcl ni shida tupu. Hata website zao ni shida tuKatika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao?
Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine?
Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme
Duuuh hapo kazi kweli. Basi hamna jinsihakuna cha server inayo link na mita , tariff class allocation/management, algorithms zote (STS systems) zinaanyika ndani ya mita, inang'amua token na kuzibadili kwenda units za umeme,
Ndio inawezekanaKatika ulimwengu wa leo nawaza kuhusu application ambayo unaweza ukaunganishwa na meter yako kiasi ambacho unaweza ukawa na unaongeza salio lako na kujua unit zilizobaki bila kutumia remote.
Hii itasaidia wale amaboa wapo mbali na nyumbani.
Wadau wa teknolojia inawezeakana?
Umeona upande mmoja ambao uko sahihi. Kuna option ya pili, kutengeneza device ambayo ita act kama remote control wirelessly communicating with Meter and at the same time connected to TANESCO servers via some IoT protocols. Then TANESCO wata authorize Vendor kuuza kwa wanaotaka.inabidi wabadili meter KWANZA iwe na 'facility' ya kufanya huo ujinga
gharama za kubadili izo mita kwa sasa Tanesco hawawezi afford plus kuna 10% itapotea kwa watu flani flani
Haziko connected, to the best of my knowledge.Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.
Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme. Token lazima ziwe verified kuwa ni valid na hyo inamaanisha zina access na server flan iliyopo tayari.
Yaani unataka kusema currently meter zao haziko connected to some server huku kwao? Kwamba macompany makubwa yakienda kununua umeme lazima na wao waje kuingiza ma number kma watu wengine? Kma ni hvo basi wapo nyuma sana aisee.
Lazma kuwe na servers zinazo contact na meter ndio maana ukiingiza token meter inasoma umeme. Token lazima ziwe verified kuwa ni valid na hyo inamaanisha zina access na server flan iliyopo tayari.