CCM ilishatuaminisha kwamba mgao ni ndoto sasa kukatiwa umeme kwa siku hadi mbili ndiyo kusema huo ni mgao au ni nini? Na katika hali hii ni kwa vipi mtu atashawishika tena kuichagua CCM ilihali biashara zake zinaharibika. Nafikiri hiyo ndiyo hoja ya vijana wa Ukonga.Tataizo la umeme ni tanzania nzima
CCM ilishatuaminisha kwamba mgao ni ndoto sasa kukatiwa umeme kwa siku hadi mbili ndiyo kusema huo ni mgao au ni nini? Na katika hali hii ni kwa vipi mtu atashawishika tena kuichagua CCM ilihali biashara zake zinaharibika. Nafikiri hiyo ndiyo hoja ya vijana wa Ukonga.
Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
Acha kuwayawaya , afanye research kwani yeye mtumishi wa Tanesco au anasomea mambo ya electric distribution. TANESCO wenyewe hawajasema lolote sasa wewe uo utafiti uufanye kwa gharama za nani?!! mashaka yanakuja zaidi umeme kukatwa kila saa moja hasa siku UKAWA inapokuwa na tukio muhimu.Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
Tataizo la umeme ni tanzania nzima
Bila shaka unafanya kazi TANESCO. Na bila shaka ni sehemu ya wale waliokurupuka kuueleza umma wa Tanzania kwamba mgao wa umeme kwa sasa itakuwa ndoto? Kama TANESCO walitamka dhahiri shahiri kwamba mgao wa umeme ni ndoto, sasa hiki kinachotokea kwanini tusikichukulie kwamba kina lengo la kumhujumu Magufuli? Kama wewe una unalolijua kuhusu TANESCO ambalo sisi hatulijui basi tuambie ili tujue kwamba TANESCO haimhujumu Magufuli. Halafu usinilaumu mimi, walaumu mama nitilie na vijana wa mtaani kwetu wanaohusisha kukatika kwa umeme na uchaguzi ujao.Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
Lol, I thought hiyo transformer nyingine inaletwa kutoka India; kumbe Bagamoyo? Hivi tunahitaji hata masaa matatu kutoa transformer Bagamoyo kuipeleka Kisarawe? Ni hujuma tu, hakuna lingine? Wanataka kumkosesha kura Magufuli hawa!Nimesikia katika redio One kuwa tatizo huko ni transfoma imeungua, hivyo umeme hautakuwepo mpaka iletwe nyingine kutoka bagamoyo.
TANESCO hawajui life span ya transformer zao? Na kutoa transformer Bagamoyo kwenda Kisarawe kunahitaji siku mbili? Kimsingi kama watu waliopewa jukumu la kusimamia huduma za jamii wameshindwa kutekeleza wajibu wao, na hasa tatizo la kukosekana kwa huduma linapojitokeza katika kipindi hiki ni haki ya vijana kulihusisha na kampeni, na kwa hakika ndivyo zinavyopigwa kampeni huko mitaani kwetu. To me, kushindwa kwa TANESCO kurespond kwa wakati, ni hujuma pia.Tanesco wamesema Transformer iliungua kutokana na uchakavu wa miundombinu na sasa wanaitoa Transformer nyingine Bagamoyo ili kuja kuibadilisha hivyo mtoa post unaweza kuedit thread yako ili usihusishe Tanesco na hayo ya vijana wa vijiweni