GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,105
- 5,544
Inasikitisha sana kuona shirika la umma likihujumu wateja wake kila siku kwa karibu mwezi mzima wakiwasha na kuzima kama mchezo wa kitoto huku wakijinadi kuwa na umeme wa kutosha.Tangu mchana wa leo hadi muda huu kazi ni moja tu,kuwasha na kuzima bila taarifa.Tanesco ni jipu linalohitaji kutumbuliwa bila hata ganzi.