Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Unaweza kusema kuwa sasa shirika la umeme nchini Tanesco limepingana na kauli za waziri alizotoa na kusema kuwa kamwe umeme hautapanda kwani tanesco wanajitosheleza, waziri huyo makini na ambae ni mtendaji kuliko siasa na ambae amekuwa akikaririwa na vyombo mbalimbali vya habari na kusema kuwa kukatika kwa umeme tanzania itakuwa historia amepingwa vikali na tanesco baada ya kuongeza umeme kuanzia mwakani
