Tanesco wamenipa ajira hewa, wanasheria mnasemaje juu ya hili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco wamenipa ajira hewa, wanasheria mnasemaje juu ya hili?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Wa kusoma, Nov 10, 2011.

 1. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,235
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Wanajamvi nina kijana wangu alifanya interview ya kazi TANESCO, kama kawaida majibu yanafuata bgaadae. Baada ya wiki mbili kijana wangu alitumiwa barua iliyosainiwa na meneja wa Tanesco ikimpa hongera zake amefaulu interview na kumwaarifu kuwa asubiri pindi taratibu za ajira zitakapokamilika ataitwa akasaini mkataba.
  Hiyo ilikuwa ni June, sasa mpaka leo hawa jamaa wako kimya na huyu kijana nikimwambia afanye application sehemu nyingine anakataa eti tayari ana baru ya TANESCO kwamba tayari ni mfanyakazi wao. Naombeni wadau sheria inasemaje juu ya jambo hilo? mwanangu asikae tu anasubiri ajira kumbe hakuna.
   
 2. Shakazulu

  Shakazulu JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2007
  Messages: 938
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Du! Mfanayakzi wao wakati haja sign mkataba wa ajira!!!!
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,010
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  umepiga simu? wanasemaje? atakuwa amepotea kwenye mchakato somehow.
   
 4. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #4
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,735
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Ngoja tuone wanasheria watusaidie hasa masuala ya mikataba japo nafahamu kumtangazia mtu direct offer ni sawa na kuingia nae contract hata kama hujaanguka signature moja kwa moja na anaweza akademand damages kwa offer hii aliyopewa na TANESCO japo inabidi awe na proof kuwa kweli walikuwa ni TANESCO na sio makanjanja tu wa mjini........somebody can prove wrong haka ka elementary sheria nilikokasoma
   
 5. BIG X

  BIG X JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2011
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ukiona hivyo kazi imeshauzwa kwa mtu mwingine.
   
 6. Wa kusoma

  Wa kusoma JF-Expert Member

  #6
  Nov 11, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,235
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Alifanya interview Tanesco makao makuu ya mkoa Iringa
   
Loading...