K kingtuma Member Joined Jan 15, 2011 Posts 88 Reaction score 10 Oct 21, 2011 #1 Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
K kingtuma Member Joined Jan 15, 2011 Posts 88 Reaction score 10 Oct 21, 2011 Thread starter #2 Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui.
Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui.
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 Oct 21, 2011 #3 mkutano tu nahisi
BornTown JF-Expert Member Joined May 7, 2008 Posts 1,716 Reaction score 485 Oct 21, 2011 #4 Ngoja tumsubiri yule mama msemaji wa Tanegiza aongee!
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Oct 21, 2011 #5 Nadhani zitakuwa issue za umeme