Tanesco Tanesco Tanesco

Tanesco Tanesco Tanesco

mbumba

Member
Joined
Oct 20, 2015
Posts
49
Reaction score
8
Shiraka hili la Umeme limeshindwa kazi Jama hapa Arusha imekua kero kila Siku ni kukata Umeme sasa wamekuja na staili Mpya ikifika saa mbili au tatu usiku wakata umeme kila Siku ukiwapigia Simu kutoa ripoti utasikia kuna Waya sehemu Fulani umekatika swali je huo Waya ni kila Siku unakatika? Na ni muda huo huo unakatika? Naomba jibu Tanesco
 
Unaishi wapi kamanda.......?......mbona kwingine full nishati..........
 
Mkuu Naishi ngulelo na hili tatizo ni kila Siku hapa nilipo ni giza hakuna Umeme
 
Halafu wanaoshughulika na Luku nani??maana toka saa kumi na mbili inasumbua....
 
mmi nimelipa hela za kuunganishiwa umeme wanadai hawana waya,wana nguzo tuu-wakati hizo ndo basic materials zao-hilo nalo ni la kufagia tu,hamezid usumbufu.
 
Back
Top Bottom