hakuna shida
Member
- Dec 16, 2015
- 25
- 5
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME KWA BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA TEMEKE
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Temeke kuwa leo asubuhi majira ya saa 12.50 Februari 25, 2016 laini ya kusafirisha umeme ya Kurasini - Mbagala ilitoka (ilikatika) ghafla. Baada ya kufuatilia imegundulika kuwa maeneo ya Sabasaba kuna waya umekatika.
Mafundi wetu tayari wapo eneo la tukio kwa ajili ya kurudishia waya huo.
Maeneo yanayokosa umeme ni Mbagala yote, Kijichi, Mbagala Kuu na Mgeni nani.
Umeme utarejea muda mfupi ujao baada ya matengenezo hayo kukamilika.
Uongozi unaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.
Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu.