TANESCO Songea hawaeleweki kabisa

TANESCO Songea hawaeleweki kabisa

kungurumanga

Senior Member
Joined
Sep 4, 2015
Posts
175
Reaction score
44
Muheshimiwa muhongo TANESCO Songea wanafanya ubabaishaji na ni kero .tunakuomba uingilie kati tabia ya ukatwaji hovyo umeme ambao hauna taarifa kwa siku wanakata hata mara 20 je ni nini tatizo?
 
Back
Top Bottom