Tanesco! Shame, shame shame!

Bondpost

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2011
Posts
7,097
Reaction score
10,613
Great thinkers, ninashangazwa na hili shirika la umeme, wanakata umeme hovyohovyo, bei ya umeme wamepandisha ili huduma ziboreshwe, kila kitu kimepanda bei sababu ya TANESCO.
Sasa wamekata umeme maeneo ya mbezi beach ni kila jumapili tunakaa bila umeme, ninajisikia hasira sana maana hakuna wanachofanya zaidi ya kutuumiza wananchi.
TANESCO inasubiri nini kubinafsishwa?
 
Poleni!
Wanajua hakuna anayeweza kuwazuia au kuwakemea!
 
n short ni kwamba Ngeleja ile wizara haiwezi analazimishaza tu ..
 
nipo morogoro jumapili ya pili hii hatuna umeme.nilijiandaa kuangalia emmanuel tv naona imekula kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…