Tanesco; Nisaidieni hili jamani

Tanesco; Nisaidieni hili jamani

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,669
Reaction score
1,418
Nimewapigia Leo asubuhi na wakaniambia nibonyeze *150*50*345#
 
uwe unaenda tanesco ama kwenye maxmalipo,kununua kwa simu inachelewa na unaweza poteza pesa
 
uwe unaenda tanesco ama kwenye maxmalipo,kununua kwa simu inachelewa na unaweza poteza pesa

Mkuu nilinunua mida hiyo sababu humu maxmalipo walifunga shop zao, mida ya saa 1 kasoro ya usiku
 
pole sana mkuu. bilashaka tigopesa waliku2mia msg yenye kumbukumbu namba inayosema muamala wako ume2mwa kwa wakala... nenda ofisi yoyote ya tanesco karibu yako waonyeshe iyo msg ya tigo pesa na utapatiwa token zako bila usumbufu nenda leo
 
Back
Top Bottom