TANESCO ni kama Tembo Kila anaepata nafasi anakata mnofu mpaka shirika linaelekea kufa halafu Leo mnaleta siasa za kijinga kutafuta kiki

Kumtoa pale Nishati Kalemani ni kosa kubwa la kiufundi.

January angepelekwa Ujenzi akasimamie bandari ya bagamoyo!
Hana qualification za wizara ya ujenzi. Hizi wazara mbili kazi ni technical zinahitaji mtu mwenye elim inayoendana na wizara husika. Random politician hato weza
 
Awamu ya Tano chini ya JPM kwa kuona Hilo ndo wakaja na suluhu ya haya matatizo kwa kukataa Tena kuingia mikataba mipya .Na njia zenyewe ni kujenga Nyerere dam ili hatimae tuwe na umeme wetu wa uhakika

Kwaiyo huyo mtu wenu hivi ndio mnamuona kaja na suluhu, Je mahitaji ya jumla ya umeme hapo ni kiasi gani, kuna wateja kiasi gani na je pato la TANESCO hapo kwa mwezi ni kiasi gani? Ili tujue dhamani ya pesa kuweka facility kama hii shambani
 
Kama nyie mlivyotafuna fedha za umma kwa kile kundi lenu la watu wasiojulikana chini ya dhalimu aliye motoni.
akamba ametoa kauli hyo akijua kabisa how tough the task it is , anajua watashindwa tuu, na lengo awaondoe baadhi ya wafanyakazi pale , hii chuki kuna sku tutafika tunapopataka , alichokuwa anakitaka amekipata haya tafuneni nchi ya Baba zenu hii
 
Kwa hali ya shirika ilivo itachukua miaka mingi Sana kumaliza hii mikataba ya kilaghai.Na hapa kama wasipoingilia wenye Nchi yao kunusulu hii hali sijui kama itaisha .Usalama wa Taifa kama mnataka nchi ipate maendeleo ingilieni kati kuhusu mikataba ya Tanesco ni ya wizi kwa ajili ya kunufaisha watu wachache.Tuipende nchi yetu kwa vitendo .Inaumiza Sana nchi kuendeshwa kihuni kiasi hiki na hatimae Wananchi ndo wanatumia kwa haya matozo ya ajabuajabu ,tuseme inatosha.
 
Reactions: _ID
Umetumia rejea gani au kuna utafiti ilifanyika kuja na hizo estimations, tatizo la umeme Tanzania sio uwekezaji au vyanzo vya umeme ila tatizo ni miundombinu za kusambaza na siasa za kipumbavu
 
Nlitaka kumpa taarifa mleta mada kua tanesco ilishaacha acha kupokea ruzuku kutoka serikalini tangu 2017. Now wanajiendesha wenyewe baada ya ile mikataba dhalimu kupigwa chini, nadhani umebaki wa Songas ambao if am not mistaken unaisha mwaka 2024 Oct(correct me if am wrong).
Ss sijaelewa wateendelea nao au wataupiga chini km kamati ya bunge ilivyoshauri...usikute Kalemani alikua anawabania or alikua anawapigia chapuo ndo mana wakampiga chini...who knows...
 
Wakifanya hivo ndo utakua upenyo wa kupiga kwa mikataba ya wizi
 
Umetumia rejea gani au kuna utafiti ilifanyika kuja na hizo estimations, tatizo la umeme Tanzania sio uwekezaji au vyanzo vya umeme ila tatizo ni miundombinu za kusambaza na siasa za kipumbavu
Upo sahihi ni siasa za kipumbavu ndo zinaleta hii hali.Huwezi kilopoka eti staki umeme ukatike Tena wakati ukweli unajulikana shirika linajendesha kwa hasara.Wapeni Tanesco bajeti ya kutosha wakalabati miundombinu yao muone kama umeme utakatika.
Vunjeni mikataba ya kilaghai ili shirika lipate mapato ya kutosha ili ndo mpate Sababu za kuwalaumu kuhusu kukatika umeme kama hamuwezi acheni siasa za kutafuta kiki.
 
Kwa kweli January kaingia Wizara na gia feki.
TANESCO yenye madeni ya kutisha ati hatutaki umeme ukatike.
Miundombinubyenye ni dhoofu na ya miaka mingi.
Tuone miujiza ya kubadilisha miundombinu hiyo ndani ya wiki mbili.
 
Maana hata mimi namshangaa kwamba hadi leo Tanesco inapumulia mashine kiuendeshaji na kimapato, watu kama hawa ndo wanatumika kuja kuharibu hali ya hewa ili ionekane shirika hali perform wapenyeze dili zao za kipigaji, turudi kulekule enzi za kina msoga ambapo ngeleja kazi yake ilikuwa ni kuwahubiria wabunge kuhusu megawatts huku nchi ikiwa imejaa giza. Sijui mzee wa megawati atakuwa anakula bata zake wapi kwa sasa.......
 
Hivi jamani huko Tanzania yale mabwawa maarufu ya kuzalisha umeme ya Kidatu, Mtera, Kihansi,Pangani yaliacha kuzalisha umeme? au ndo stories zilezile zinaendelea kama kawaida.... poleni sana na kaazi iendelee...
Yanazalisha lakini hautoshi
 
Mwanasiasa wa Afrika ni hatari sana. kwani haya hawayajui? Narudia tena siasa na ushirikina ni chanzo cha umaskini katika bara la Afrika.
 
Mkuu unaweza kutusaidia wanapa kiasi gani hiyo unaiita faida manake Mimi najua faidi inayoptikana ni kwa ajili ya kulipa madeni na mishahara in short Tanesco inaijiendesha kwa luzuku ya serikali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…