TANESCO na DAWASCO igeni mfano wa NHC

TANESCO na DAWASCO igeni mfano wa NHC

MGASON

Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
65
Reaction score
35
Napenda kutoa pongezi za dhati kwa Shirika la Nyumba la Taifa N.H.C kwa utendaji wao mzuri wa kazi na hii nina imani ni kutokana na mambo kadha wa kadha ikiwemo Uongozi wa juu ulio makini na kile wanachokifanya,uongozi wa juu kushikiliwa na vijana ambao wengi wao damu bado inachemka,uzalendo kwa taifa na pia viongozi wa NHC wamechaguliwa kulingana na uelevu pamoja na uelewa wa kazi (sio kuwapatia watu vyeo kutokana na urafiki au ukabila kama tuonavyo katika tasisi nyingine).

Huwezi amini kwa kipindi kifupi tu cha uongozi wa hawa jamaa wameonyesha mafanikio makubwa sana na yenye tija katika taifa.

Now days ukienda HQ yao unawakuta jamaa wanapiga kazi hata week end tofauti na ilivyokuwa hapo awali.

Big up sana wakurugenzi na wafanyakazi wote wa Shirika la nyumba NHC.Kupitia mfano huu ulio hai tunaomba pia mashirika mengine ya serikali kuiga mfano huu wa NHC sio kukaa tu nmaofisini na kufuja fedha za wavuja jasho.

Tukianza na TANESCO NA DAWASCO bado sana wanaitaji mabadiliko makubwa yakiutendaji pamoja na utaalamu wajiliwa walio wengi katika mashirika hayo wamezeeka kiakiri nakifikra bado sana wanafanya kazi kimazoea na sio kama mabadiriko ya dnia yanavyowataka wafanye.

Haiwezekani TANESCO mpandishe bill ya umeme na bado mnatukatia umeme mna maana gani sasa??mbadilike na kuiga mfano kutoka kwa wenzenu.

Nao NHC wasibweteke waendelee kupiga kazi kwani wananchi wengi bado tunaitaji nyumba bora za ghalama nafuu kam ilivyo mission yao.

Nawasilisha wakuu.
 
Back
Top Bottom