TANESCO mkoa wa Tanga, imeoza

Mangi flani hivi

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
2,026
3,100
Bado nipo kwenye ziara ya kuzunguka mikoa kadhaa kuangalia utekelezaji wa kauli mbiu au kiitikio "hapa kazi tu" kama kinavyoimbwa na viongozi wetu kwenye majukwaa mbali mbali nimefika Tanga, kwa kweli kuna mauozo ya kufa mtu kwenye sekta mbali mbali lakini hapa TANESCO ndo pamekwisha kabisa haya ni machache:

1.Watu wanalipia kuunganishiwa umeme, kiutaratibu inajulikana kuwa ni siku 30, lakini siku za kisheria zinaisha na unaambiwa mpaka mwezi ujao. Kumbuka huu sio umeme wa REA ni wa kulipia garama za kawaida za TANESCO. Hela wamechukua wametimiza lengo Kama waziri husika alivyowaambia Ila nguzo hupati.

2.Tatizo dogo kama meter replacement linataka mpaka umjue mtu, meter zipo, ili ulipe bili shirika lipate hela unahitaji kupata meter, meter kufa sio jukumu lako, bali ni wao wenyewe wanafanya mabadiliko ya meter za zamani na kuweka mpya. Tatizo kama hili linachaukuwa mwezi, na ni hapa mjini, sijui waliopo peripheral, sasa kama mteja hana meter mtapata wapi mapato, na Meneja wa mkoa amepewa KPIs. Waziri upo wapi?

3.Unawapigia simu, unawaambia kuna emergency sehemu flani, wanakwambia wanakuja, hiyo ni wiki mbili kwa mjini kati an miezi kadhaa kwa nje kidogo ya mji. Sasa unawaambia ni emergency halafu wanakuja baada ya wiki. Hapo kuna emergency tena? Kama ni watu kufa si wameshakufa.

4. TANESCO ofisi ya mkoa inafanya kazi kwa mazoea hakuna mabadiliko, hawajasoma alama za nyakati. Hicho kibwagizo cha hapa nini sijui utakuwa unaamba mwenyewe JPM na mawaziri kadhaa, na officials wa hapo Dar. Nje ya ar ni mazoea na utamaduni. Serikali inapoteza mapato kwa watumishi Dwasiofanya kazi yao ipaswavyo.

Mheshimiwa Professa angalia huku umewatuma mameneja hela, wao wanachukua hela na huduma hawatoi.
 
Bado nipo kwenye ziara ya kuzunguka Mikoa kadhaa kuangalia utekelezaji wa kauli mbiu au kiitikio "hapa kazi tu" Kama kinavyoimbwa na viongozi wetu kwenye majukwaa mbali mbali..nimefika Tanga, kwa kweli kuna mauozo ya kufa mtu kwenye sekta mbali mbali lakini hapa Tanesco ndo pamekwisha kabisaa...haya ni machache:

1.watu wanalipia kuunganishiwa umeme, kiutaratibu inajulikana kuwa ni siku 30, lakini siku za kisheria zinaisha na unaambiwa mpaka mwezi ujao. Kumbuka huu sio umeme wa REA ni wa kulipia garama za kawaida za Tanesco. Hela wamechukua wametimiza lengo Kama waziri husika alivyowaambia Ila nguzo hupati.

2.tatizo dogo Kama meter replacement linataka mpaka umjue mtu, meter zipo, ili ulipe bili shirika lipate hela unahitaji kupata meter, meter Kufa sio jukumu lako, Bali ni wao wenyewe wanafanya mabadiliko ya meter za zamani na kuweka mpya. Tatizo Kama hili linachaukuwa mwezi, na ni hapa mjini, Sijui waliopo peripheral, sasa Kama mteja Hana meter mtapata wapi mapato, na Meneja wa mkoa amepewa KPIs. Waziri upo wapi???

3.Unawapigia simu, unawaambia kuna emergency sehemu flan, wanakwambia wanakuja, hiyo ni wiki mbili kwa mjini Kati an Miezi kadhaa kwa nje kidogo ya mji. Sasa unawaambia ni emergency halafu wanakuja baada ya wiki. Hapo kuna emergency tena.????? Kama ni watu Kufa si wameshakufa.

4. Tanesco ofisi ya mkoa inafanya kazi kwa mazoea..hakuna mabadiliko, hawajasoma Alama za nyakati. Hicho kibwagizo cha hapa nini Sijui....utakuwa unaamba mwenyewe JPM na mawaziri kadhaa, na officials wa hapo dar. Nje ya dar ni mazoea na utamaduni. Serikali inapoteza mapato kwa watumishi wasiofanya kazi Yao ipaswavyo.

Mheshimiwa Professa angalia huku..umewatuma mameneja hela, wao wanachukua hela na huduma hawatoi.
 
Hii taarifa yako haina ukwel

UCHUNGUZI WAKO UMEJAA CHUKI NA MIHEMKO YA AINA MBALIMBALI.

* Kucheleweshewa kuunganishwa kwa umeme kunatokana na sababu nyingi ikiwemo ukosefu wa vifaa kwa wakati mwingine. Nafikili ungetedna haki kwa kuuliza kwa wahusika kwa nini wanawacheleweshea kuunganisha umeme.

Mkuu kama huna kazi unavizia serikali isimamishe watumisho ili upate kazi, utakuwa umesahau pia ajira zimesimamishwa kwa wakti huu
 
Ndalandefu, najaribu kuangalia maoni yako,...umekurupuka. Kwa nini usiulize Kama Nina evidence na hichi ninachokisema???? Unataka kusema kuwa nitakuwa na akili ya kawaida namna hiyo kutoa maoni yasiyo na ushahid??? Na je Mimi Sijui kuwa kuna issue ya vifaa?? Unadhani si kufika kuongea na wahusika kadhaa???

Swala la ajira muzee halipo kwangu. Mpaka napata Muda wa kuzurura Mikoani, nani ajiajiri??? Connect dots. Soma maoni,tulia ujibu hoja. Kama upo Tanesco pole, la gizani hili.

Professa, liangalie hili.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom