Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,356 Nov 26, 2011 #1 Jamani nisaidieni mawazo huku mikocheni a jana kulikuwa na umeme wa mafungu.baadhi tulilala gizani .leo tukatoa taarifa wakasema watafanyia kazi,saa |2 ukawaka kwa dk |5 ndio mpaka nimapotuma tread hii
Jamani nisaidieni mawazo huku mikocheni a jana kulikuwa na umeme wa mafungu.baadhi tulilala gizani .leo tukatoa taarifa wakasema watafanyia kazi,saa |2 ukawaka kwa dk |5 ndio mpaka nimapotuma tread hii
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,991 Reaction score 30,188 Nov 27, 2011 #2 Sio hiyo tu, Kwa wanaonunua umeme wa luku kwa kupitia kadi leo siku ya pili mtandao haufanyi kazi!!