TANESCO kuna nini jamani?

Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,018
1,147
Leo umeme umekatika zaidi ya 7.. TAZARA KILIMO TEMEKE.... Unafungua computer unaaanza kufanya kazi dk 2 umeeenda kama mna matengenezo si mkate moja kwa moja.

Hiki ni kitu gani hiki... Jana pia maeneo ya Tabata hivi hivi.... On and offffff.... Muhongo sijui hata anasikiaga huko yuko busy na mkaa wa mawe..
 
punguza jazba mkuu!sasa tupo kwenye uhakiki wa wanaoikosoa na kuipinga serikali humu jf,angalia usije ukalalamika beyond the limit!
 
Acheni unafiki, sikuhiz suala la kukatika umeme ni nadra sana. Vinginevyo wewe ndio umehamia Jijini majuzi kutoka Sumbwanga ambako wanatumia umeme wa Zambia. Hujui mwaka mmoja nyuma hali ilikuwaje Dsm kulinganisha na sasa, acha kelele fanyakazi.
 
Naona ujamuelewa mtoa mada soma vizuri yeye anataka kujua kama kuna tatizo waseme kisha wakatekabisa wakiwa tayali waludishe jumla sio kukata na kuludi papo kwa papo
 
Back
Top Bottom