TANESCO kuanza kukopesha Majiko ya umeme Kwa Wateja wapya

TANESCO kuanza kukopesha Majiko ya umeme Kwa Wateja wapya

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
My Take
Kufikia 2030 ,zaidi ya 50% ya Watanzania watakuwa wanatumia Nishati safi ya umeme,gesi na mkaa Mbadala ambapo lengo la serikali ni kufikia 70% ya watu mwaka 2030.

DODOMA: SERIKALI imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liharakishe mchakato wa kuwakopesha wateja wapya majiko ya umeme.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko ametoa agizo hilo wakati wa uzinduzi wa programu ya utoaji majiko ya umeme kwa bei ya ruzuku kwa wafanyakazi 11,000 wa Tanesco.
 
Watanzania waoga kutumia jiko la umeme,umeme unakwenda balaa

Ova
 
Back
Top Bottom