Labda muachane na hao wa Himo, ripoti/malalamiko yapelekwe moja kwa moja kwa Meneja wa Mkoa.
Halafu kama uko karibu na familia ya marehemu, waelekeze wafungue kesi ya madai dhidi ya TANESCO. Hata kama wana kipato cha chini kuna mawakili pale Moshi huwa wanachukua kesi chache bila malipo yaani "pro bono" kwa mfano Bi Elizabeth Minde au Bw Juma Mawalla.