Ni takribani muda wa mwezi mmoja tangu mvua za masika zianze. Lakini kuanza kwa mvua naona imekuwa kama sababu kuu kwa TANESCO. Umeme hauna tena faida kwetu ni kama tunapewa ofa vile ya umeme. Kigamboni umeme ukwepo kwa siku mbili mfululizo wanaona kama kosa la jinai vile.
Nashindwa hata kujua kigamboni na baadhi ya maeneo ya Manispaa ya Temeke dau letu ni dogo au hatustahili kuwa umeme? Operation cost kigamboni zinapanda kwa sababu ya umeme. Vijiofisi vyetu imekuwa taabu kuviendesha.
Nakumbuka miezi ya january na february walikua na operation ya uboreshaji wa miundo mbinu, ilikua kiini macho au ????. Jamani kuweni serious kidogo japo hata tukipata kwa wiki mara tano sio mbaya lakini si kwa style hii. TANESCO amukeni bwana sio kila siku tuimbe nyinyi bwana mna boa.
Sijui pande za huko maeneo ya kwako mwana jf kukoje?