TANESCO: Katizo la umeme mkoa wa Kinondoni Kusini

viatu virefu

Senior Member
May 25, 2015
165
20
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA ( TANESCO )

TAARIFA YA KATIZO LA UMEME MKOA WA KINONDONI KUSINI

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa kunamatengezo yanayolenga kuboresha upatikanaji wa umeme Leo Februari 20, 2016 MUDA: saa 2:00 asubuhi hadi saa 9:00 mchana.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA NI MAGOMENI YOTE, TANDALE, SINZA, MANDELA ROAD, MAKONGO , CHANGANYIKENI, MABIBO NA MANZESE.

KWA MAWASILIANO WASILIANA NA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA
0768985100 AU 0222194400

Imetolewa na Ofisi ya Uhusiano TANESCO Makao Makuu
 
Back
Top Bottom