Toa taarifa acha umbea
Hebu angalia kauli hizi
“Kila ikifika saa 1 wanakata umeme”
“Kila ikifika saa 1 umeme unakatika”
Hizo taarifa ni sawa au tofauti??? Nani ananufaika na katizo hilo la umeme? Tanesco au wananchi
Maana Wananchi wanakosa umeme (Hasara)
Tanesco hawauzi umeme( Hasara)
sasa unadhani nani ananufaika kama kweli ni hujuma inafanyika.
Kwenye umeme kuna mambo mengi, Huo muda wa saa 1 jioni ni peak time may be transformer ya kwenu inazidiwa, May be Tanesco Bagamoyo nao wanapokea umeme mdogo inabidi waelekeze line muhimu nk.
Jikite kutafuta suluhu na sio kuzalisha tatizo jingine
Kenge weweToa taarifa acha umbea

Kenge wewe
Umbeya uko wapi?
Ndivyo mnavyojitetea? Tupeni taarifa kama mna sababu za kukutika na siyo utetezi wa kijinga kama huu
**** you! Mbona hamjazima tena.
Unadhalilisha mama zake na dada zako kwa ujumbe wa kipumbavu