TANESCO Ajira Kibao

TANESCO Ajira Kibao

kwimba1

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
15
Reaction score
2
Wadau.

TANESCO jana wametangaza nafasi za kazi kupitia gazeti la Daily News, sijabahatika kulipata hilo gazeti, mwenye taarifa aweke link tafadhari, au taarifa zaidi.

Nawasilisha.
 
Nimejaribu kucheki kwenye gazeti la jana nimekuta linasomeka hivi kuhusu nafasi ya kazi toka Tanesco
1.0 Open Position: OFFICE MANAGEMENT ASSISTANT/SECRETARY

Ziko nafasi tano.
Academic Qualifications/requirements
. Holder of Form four/form six certificate.
.Diploma in Secretarial or full secretarial certificate
Typing speed 50WPM(Stage III)
Office Practice stage II
Secretarial duties stage II
English stage II
Shorthand/Hati mkato80/100

Experience and Skills you must posses
3-5 years exp.
 
kazi kweli kweli.........
 
Tanesco hafai wanapwana kazi
mda mfup nmefanya enterview tanesco shinyanga tulifanya watu 10 wasichana 7 wavulan 3 na walikua wanaitaji ass acounts wa 5 but amin usiamin waliwachua wasichana tu 5
 
Hawa jamaa nafasi wanapeana wenyewe tu, wanatangaza ushahidi tu.
 
Tanesco hafai wanapwana kazi
mda mfup nmefanya enterview tanesco shinyanga tulifanya watu 10 wasichana 7 wavulan 3 na walikua wanaitaji ass acounts wa 5 but amin usiamin waliwachua wasichana tu 5

Swala jinsia halijaangaliwa hapa.
 
Back
Top Bottom