SUYA
Senior Member
- Jun 24, 2009
- 131
- 21
Hapa Savei kila Siku umeme unakatika line moja ni sehemu yenye frem nyingi za biashara baadhi ya wafanyabiashara wanakula na mafundi ili umeme wasirekebishe hili tatizo ipasavyo na hata wakija kurekebisha ni usku.Hii ni Hujuma ya wazi kwa maana ni tatizo la zaidi ya miezi sita sasa huu ni wakati wa mabadiliko Tanesco badilikeni