joomla ni ngumu kuhack ila hizi 3rd party components na plugins zimekuwa njia rahisi kupenya hasa kama unatumia joomla 1.5, jamaa katumia njia ya kawaida kabisa kuhack hiyo website
pia matumizi ya nullified themes na extensions uwa zina backdoors kwa hackers kufanya mambo yao.