habari wana jamvi ni takriban miezi zaidi minne toka tanapa watangaze ajira na kuita kwenye usaili kada moja ya 'park rangers' nafasi zingine bado nimeleta kwenu kujua endapo kuna yeyote aliyeitwa kwenye nafasi zingine na kama kuna taratibu zingine zinaendelea