Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Mmmmh wandugu me nasikia huwa wanataka chet kabisa katika ajira zao hawatak transcript.
Mhh! kazi ipo.Sasa wewe kama una transcript kwa nini usiwe na chet? Tatizo mnasoma vyuo vyenye mtazamo wa kizamani kama UD eti kupata cheti hadi baada ya mwaka mmoja! Je kama mhitimu sio mtanzania hicho cheti utamtumia kwa njia ya posta? Hii ni kasumba mbaya ya vyuo vyetu vya Tanzania. Tatizo kubwa hapa hivi vyuo vinaongozwa na vibabu ambavyo hata kutumia kompyuta havijui. Kuwapa vijana uprofesa mapema hawataki na TCU (ambayo nayo inaongozwa na vibabu) wanaweka masharti magumu ili vijana wasiingie kwenye ngazi za uongozi wa vyuo. Kwa mfano mwadhiri mwandamizi akifikisha machapisho matatu ndani ya mwaka mmoja atalazimika kusubiri hadi ipite miaka mingine miwili ili aweze kupewa uprofesa. Matokeo yake anakata tamaa ya kuendelea kufanya tafiti hivyo hulazimika kusinzia ofisini hadi atakapopata huo uprofesa. This is nonsense.
Sasa wewe kama una transcript kwa nini usiwe na chet? Tatizo mnasoma vyuo vyenye mtazamo wa kizamani kama UD eti kupata cheti hadi baada ya mwaka mmoja! Je kama mhitimu sio mtanzania hicho cheti utamtumia kwa njia ya posta? Hii ni kasumba mbaya ya vyuo vyetu vya Tanzania. Tatizo kubwa hapa hivi vyuo vinaongozwa na vibabu ambavyo hata kutumia kompyuta havijui. Kuwapa vijana uprofesa mapema hawataki na TCU (ambayo nayo inaongozwa na vibabu) wanaweka masharti magumu ili vijana wasiingie kwenye ngazi za uongozi wa vyuo. Kwa mfano mwadhiri mwandamizi akifikisha machapisho matatu ndani ya mwaka mmoja atalazimika kusubiri hadi ipite miaka mingine miwili ili aweze kupewa uprofesa. Matokeo yake anakata tamaa ya kuendelea kufanya tafiti hivyo hulazimika kusinzia ofisini hadi atakapopata huo uprofesa. This is nonsense.
Hivi hii taasisi huwa ni ya watu fulani au ukoo fulani tu jamani? Mbona hawa wadau wamelala doro sana?
Kila wanapotangaza kazi huwezi kuskia tena mchakato umeishia wap. Nachelea kusema hili shirika lina haja ya kufanyika mapinduz ya kiuongoz. Mr alan kijazi (GENERAL DIRECTOR),hivi huwa michakato yakupata kazi hapo ikoje? Huwa hakunaga hata watu wanao staafu? Sababu mpaka mtangaze kazi ni ishu tena mpaka mjishtukie ndo mnabeep wananchi kwa kutangaza vikazi nafasi mbili au tatu mbaya zaidi hatuoni mwisho wa mchakato.
Kwani hlo shirika ni la kifamilia au kiukoo?
Jaman,nina hasira nyingi kama za mbogo kwa hawa mabwanyenye! Dahh rashidi nigongee ugoro kwanza na we mama nani nipe kiroba nipunguze hizi hasira
Mafuluto ielewe ikuelewe,otherwise you cant rise.
Why tanapa kwani taasisi nyingne kama tra,sumatra,bandari,ppf,pspf,nssf,nida,ewura,tanesco,ttcl,ttb, ttcra, huzion au walikudanganya kuwa tanapa kuna pesa za kifisadi....tanapa ni moja ya mashirika machache hapa nchini yanayojiendesha yenyewe kiufanisi bila kutegemea ruzuku ya serkali na huwa wanaipa serkali ruzuku hivyo ukianza kulaumu uongoz wa tanapa kwa interest zako na shda zako unakosea sana...jfunze badlka
Unajua kuwaza lakini huna akili...Tatizo hapo sio la chuo, Tatizo ni kwamba kwa nini TANAPA wasichukue transcript???