Kumbe hata malalamiko hayajaletwa sasa nyie TAMWA mmejuaje kama hiyo kitu ipo wakati hakuna aliyekuja kulalamika? Au tayari mshagongana angle zenu sasa mnataka kuharibiana?
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.
"Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri mkubwa kuishi na watoto wa umri mdogo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia,
lakini ukweli hatujapata malalamiko hayo, na kama yakiwepo, tutayashughulikia" alisema Valeri Msako – Mkurugenzi wa Tamwa.
Chama cha Waandishi wa habari Wanawake Tanzania (Tamwa), kimesema Wanawake wenye umri mkubwa wanao tembea na watoto wadogo watawashughulikia.
Tumesikia kuna kesi nyingi za wanawake wenye umri mkubwa kuishi na watoto wa umri mdogo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia,
lakini ukweli hatujapata malalamiko hayo, na kama yakiwepo, tutayashughulikia alisema Valeri Msako Mkurugenzi wa Tamwa.
Haahaahaahaa! Miye sisemi!
Hao TAMWA nao waende zao.
Kama wenyewe wanapenda vya dezo kwanini tusiwawekeze?
Acha niendelee kumlea my Serengeti boy wangu Shea, toto la Kimwera, nakati ya Boko Basihaya.
me namiaka 17 naishi na mwanamke ana age ya 38 kwahyo nimshtak au
uanze kupeleka taarifa za yule kijana aliezawadiwa gari na jimama lake!!!!!!
Shugamami anaanzia umri gani?
Najua mtoto ni chini ya miaka 18.
Hawana jipya. Nikiwa 55 nikawa na 19 nani atanishughulikia? Kwa kigezo kipi? Ny.g zinawasumbua tu.