Tamu tamu ya boss, the problem it doesn't last long

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Yaliyopita yanafurahisha

Nakumbuka back 2007 nikiwa nimerudi likizo ya chuo Nikaamu kutafuta kazi ya kufanya ili nisiboreke Sana kitaa.

Bro akanikonect na boss lady flani hivi aliyekuwa anasimamia supermarket. Mimi niliwekwa kitengo cha kusambaza goods zilizotolewa order mbalimbali. Kuanzia asubuhi mpaka mida ya saa kumi jioni hivi, mimi na driver wa boss tulikua tunasuply mizigo, ikifika mida hiyo boss mwenyewe anabaki na mimi tunapita kwa matajiri kukusanya pesa na kupata new order .( the detail of business items will not be clarified for security purposes)

Sasa boss lady alikua msure kinyama madeal yakienda vizuri lazy Iazima nyakati za jioni mpite sehemu penye utulivu mpate dinner na mvinyo. Uzaifu wake ulikuwa akiwa kwenye mapumziko yake alikua hataki maneno au mziki mnene... So Mara nyingi alikua akifika viwanja anaomba sehemu ya juu yenye mwanga hafifu na siku zingine anachukua chumba kabisa lodge Anatuli.

Kwa kipindi cha miezi miwili nilipokua likizo sikuwahi mskia anaongelea Mbawala ya mapenzi kwenye simu, boss lady alikua focused kinyama kwenye business.

Kama ujuavyo demu ni demu tu, siku moja tumepiga kazi hadi mida ya saa mbili usiku. Tulipokua tunarudi tukapita eneo moja tulivu, akachukua room kabisa ili aoge kabisa kisha tupate msosi. Kosa alilolifanya ni kwenda kuoga wakati Mimi bado nipo room. Alichelewa sana kurudi Ikabidi nikamgongee, kumuuliza boss kuna usalama huko, alichonijibu mpaka Leo huwa naisikia sauti yake masikioni. Sielewagi kilitokea nini... Itoshe kusema siku hiyo nilipewa penzi kwa mara ya kwanza katika mazingira ya kutozamilia.

Kwa wiki kazaa kabla sijarudi chuo alinipa mchezo huo mtamu, lakini kwa sharti nje ya room nisikae nijionyeshe Kama nina mazoea nae.

Leo ni mke wa mtu na kitambo nilishapoteza mawasiliano nae, but was among my favorite boss of all the time.

My boss lady was lovely but her honey didn't last long......

Karibu mdau Leta pia uzoefu wako.
 
Mkuu hujasema maneno gani alikuambia ulivyomgongea mlango
 
Yaliyopita yanafurahisha

Nakumbuka bac

Karibu mdau Leta pia uzoefu wako.
MKUU alikwambia maneno gan? bosi wang anaweza nambia hayo maneno nikakosa kumtafuna bure.....leta maneno iyo
 
huwa siwezi kusimulia mambo kama haya, ndio maana yanafanyika faragha.
kusimulia ni kufunua uchi hadharani
 
Mi alinipeleka home kwake tukakaa barazan tukipiga moja mbili hadi saa 6 ucku, akaekti kalewa anakuna kwa bibi kila saa, nkamuuliza nkusaidie? kwa utani tuu nkaona kaachama mapaja nkapeleka mkono katulia tuliii,
Kilichoendelea hapo barazan wakubwa wote mshajua
 
Mmmh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…