naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,771
- 3,805
Vipi saivi umeolewa ? Mumeo ana sura gani ?




dah nimecheka jamani! mwaya nimeolewa sura yake kwakeli naiona poa tu sijui ndo mahaba yamenzidia lol.Vipi saivi umeolewa ? Mumeo ana sura gani ?




dah nimecheka jamani! mwaya nimeolewa sura yake kwakeli naiona poa tu sijui ndo mahaba yamenzidia lol.
niliikuta lakini ishanitoka namkumbuka yna na angelo yule og baada ya hapo zikaanza kuja only you na it might be youThe promise hukuikuta au sio?
lazima ui describe ki unyonge. Wanawake ndio mlivo hua mkiangalia TV mnadhani mtaolewa na mA HB ka wale kumbe wao hawana time.mtu kama salman khan ana miaka 50 kama sio 60 na hajaoa
dah nimecheka jamani! mwaya nimeolewa sura yake kwakeli naiona poa tu sijui ndo mahaba yamenzidia lol.
ilikua balaa kwakweli, akati inaanza nlikua boarding afya ikawa mgogoro nikarudishwa day school nilifurahije sasa hahah,maana uhakika wa kuiona kila siku ukawepo lol.Haha nilikuwa sikosagi aisee,mzee katuzingua sana kisa hii tamthilia
Nilijua tulazima ui describe ki unyonge. Wanawake ndio mlivo hua mkiangalia TV mnadhani mtaolewa na mA HB ka wale kumbe wao hawana time.mtu kama salman khan ana miaka 50 kama sio 60 na hajaoa



acha tu, na kikweli nlistrugle hasa na wenye visura vyao adi nlipokuja kujua am wasting my time bora kukomaa na hawa hawa sura ngunju tu.Nimeitafuta sana nashindwa kuipata,sanaa niliipenda haijawah kuondoka akilini
acha tu, na kikweli nlistrugle hasa na wenye visura vyao adi nlipokuja kujua am wasting my time bora kukomaa na hawa hawa sura ngunju tu.
Nilikiuwa nampenda sana bea Bianca ,dah Ile love story ilikuwA NZURI sanailikua balaa kwakweli, akati inaanza nlikua boarding afya ikawa mgogoro nikarudishwa day school nilifurahije sasa hahah,maana uhakika wa kuiona kila siku ukawepo lol.
labda ujaribu youtube waweza ipata japo sjawah itafta huko nakumbuka walirudiaga kipande kipindi inakaribia mwisho halaf nikakorokocha tv jibu la baba likawa utulie hakuna tv wallah mama akanambia niende kuna rafiki aje mmoja hivi nikaangalie nije kumhadithia nikaenda nikakuta wamekirudia kipande nilishukuru nikarud nyumban nikamwambia mama ikabidi baba alete fundi tu na usiku wake ikaishaNimeitafuta sana nashindwa kuipata,
Wale jamaa wanajua sana
hahahh,kila lakheri mkuu Mungu akufanyie wepesi upate wa kufanana nae inshalllah.Hahaha ulifanya uamuzi wa busara sana. Hata kwa sisi wanaume tunakumbana na tabu kwa hivi vidada vyenye sura nzuri, vihuni na vinapenda hela. Itabidi nikitaka kuoa nitafute sura pasonooo!!!
lol i wish mama angu angekua supportive kiasi hikolabda ujaribu youtube waweza ipata japo sjawah itafta huko nakumbuka walirudiaga kipande kipindi inakaribia mwisho halaf nikakorokocha tv jibu la baba likawa utulie hakuna tv wallah mama akanambia niende kuna rafiki aje mmoja hivi nikaangalie nije kumhadithia nikaenda nikakuta wamekirudia kipande nilishukuru nikarud nyumban nikamwambia mama ikabidi baba alete fundi tu na usiku wake ikaisha


, wangu alikuaga anapeleka tv chumbani kwake,yaani mmekaa mnaangalia sauti ya chini sijui hata anasikiaje mnashangaa anakuja hasemesh mtu anabeba tv anaipeleka chumbani hahahah! kesho yake akiwa kazini mnaenda angalia marudio huko huko chumbani kwake kwenye antena mnachomeka uma mambo burudani kabisa 




.
hahahhaa umenichekesha sanalol i wish mama angu angekua supportive kiasi hiko, wangu alikuaga anapeleka tv chumbani kwake,yaani mmekaa mnaangalia sauti ya chini sijui hata anasikiaje mnashangaa anakuja hasemesh mtu anabeba tv anaipeleka chumbani hahahah! kesho yake akiwa kazini mnaenda angalia marudio huko huko chumbani kwake kwenye antena mnachomeka uma mambo burudani kabisa
.
Huyo ndo nilimsahau...nakumbuka nilikua darasa la 7
aisee!nilikua nampenda sana Lia mdogo wake na angelo
Mtu mwenye SURA YAKE PERSONALacha tu, na kikweli nlistrugle hasa na wenye visura vyao adi nlipokuja kujua am wasting my time bora kukomaa na hawa hawa sura ngunju tu.
Unayo in English?Afu da ivi unaweza kuchek kwenye CMU ikiwa taari imetafsiriwa
Kale karafiki lake Angelo kalikuwa kama kashost fln hiv,dah u remind me those day in kigoma*THE PROMISE*
```Kwa Wahenga wenzangu..!```
*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*
_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_
*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*
_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._