Tamthiliya ya "The Promise"

Tamthiliya ya "The Promise"

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,647
Reaction score
4,753
*THE PROMISE*

```Kwa Wahenga wenzangu..!```

*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*

_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_

*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*

_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._
 
Mimi niliifuatilia ila nilikuwa dogo sana, hata siikumbuki tena zaidi ya kumkumbuka yna na angelo.

Ngoja waje.
 
Niulize kuhusu isidingo bhana enzi za akina nandipa akina zeshi bhana hao akina angelo sijui yna waulize watoto wa jakaya et
 
Nilikuwa siipendi hiyo tamthilia aisee...
 
*THE PROMISE*

```Kwa Wahenga wenzangu..!```

*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*

_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_

*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*

_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._
Nilikuwa kidato cha 5 kigoma High school! Kulandea, ntyamagwa, magogo, mchete, mwingira n.k
 
Hii movie juzi nimeisaka sana sijaipata,

Nilikuwa young kipindi hiko,it was the best..nilikuwa nampenda sana bea bianca.
 
lol... 1st time naiona hii nlikua shule dining hall jpili kama sikosei, yameisha marudio ya larevancha ikaunganishwa hii,wakaka wazuri kama malaika wacha tudate wanafunzi . Sema hii na the long wait zilikua the best jamani dah! old good days.
 
Haha nilikuwa sikosagi aisee,mzee katuzingua sana kisa hii tamthilia
 
  • Thanks
Reactions: naa
lol... 1st time naiona hii nlikua shule dining hall jpili kama sikosei, yameisha marudio ya larevancha ikaunganishwa hii,wakaka wazuri kama malaika wacha tudate wanafunzi . Sema hii na the long wait zilikua the best jamani dah! old good days.
Vipi saivi umeolewa ? Mumeo ana sura gani ?
 
  • Thanks
Reactions: naa
Ilivyoisha the promise ndo ikaja hii,nilimpa girlfriend wangu jina la "red butterfly"

Yule mzee mshua Henry alikuwa anajua sanaaa,kina boris dah
sanaa niliipenda haijawah kuondoka akilini
 
*THE PROMISE*

```Kwa Wahenga wenzangu..!```

*_Nazungumzia ile Original...ila ambayo kulikuwa na yule mdada mzuriii wa kifilipino wakuitwa YNA MORATA na Mpenzi wake ANGELO...Na ndugu zao akina ANTY AMORE, MAMA AMORE...Mtu anikumbushe kale katoto kalikokuwa rafiki yake ANGELO wakati huo ANGELO alikuwa ameumia MGUU...!_*

_TELL US ULIKUWA WAPI WAKATI UNAFUATILIA HIYO KITU...?_

*TELL US THE IMAGE YOU HAD IN YOUR MIND WAKATI ULIKUWA UNAANGALIA HIYO TAMTHILIA...!?*

_NAJUA WENGI WENU MLIKUWA BADO MAKINDA MNAWAHI KULALA..._
mwisho wa game yna na angelo wakaonana

me namkumbuka Yule madam Claudia na yule mzee

daah long sanaa enzi hizo nipo 6 kibaha secondary
 
Back
Top Bottom