Basi ulale,usije babuliwa vibao bure,kesho utaniewesha,hamna shidaFinyango nikibabuliwa mabao wewe hutonisaidia lolote,tulale kesho ntakuelewesha ila muuliza swali alimaanisha Rehani hatomlala Aaliya ndio nikamjibu kua kwani wale si wanaigiza tu!! Hata Zain si hamlali kweli Aaliya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiuhalisia hebu jiweke nafasi ya Rehani we unahisi Ungemwoa Aaliya usingemvua pichu hata siku moja kweli? Au ndio uigizaji?Basi ulale,usije babuliwa vibao bure,kesho utaniewesha,hamna shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni kitendo cha kukutana kimwili kihalali.ikiwa hakumwiingilia hapo hakuna ndoaDuh jmn! Sasa wakili anavyompenda Aaliya jmn atamwacha salama kweli? Hv pia atamwoa halafu aishi nae tu bila kumufanya chochote!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawazo ya kitanzania ni ya kipekee kwa kweli ulishaambiwa ule ni mchezo wa kuigiza yote yale ni actingNdoa ni kitendo cha kukutana kimwili kihalali.ikiwa hakumwiingilia hapo hakuna ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
We kama mm,mm nilisafiri kama wiki mbili hv niliporudi kuangalia nikitegemea itakuwa imesogea mbali nikakuta inazungukia palepale tu nikaachana nayo,watu wameoana wanaishi chumba kimoja lakini kutwa kuviziana hata kuambiana wanapendana hawawez pumbavMimi niliacha angalia sababu ya jinsi kipindi hicho Kinavyo oneshwa, yaani mbwembwe nyingi tukio lenyewe dk 1 lakini wataweka slomo Mara watarudia mpaka wanakwaza. Kwahiyo ili tusikwazane niliamua kuacha mazima...
Sent using Jamii Forums mobile app
Samahan inaoneashwa channel gan nimekua interestedHivi kuna wadau wanaifatilia hii tamthiliya nzuri ya kihindi ya Beintehaa? Kiukweli mie naipenda naomba kama kuna watu wanaifatilia tupeane upadate.
jiwemton Chanel ni Azam 102 SAA 3:30 kila siku na hiyo nagiin ni j2 SAA 3:30
zipo nyingi sana me nimefatilia yote nmemalizaIko poa sana! Hii tamthiliya nahisi inaonyeshwa dk25 tu! Hv kuna cd zake mtaani?
Sent using Jamii Forums mobile app