Mkuu TV Station mpaka kurusha kazi ya mtu/kampuni (hizo tamthiliya) inahitaji pesa, na mara nyingi tamthiliya inavyotoka huwa TV Station moja inachukua exclusive rights (au inachangia kabisa katika utengenezaji wa hio kazi) sasa baada ya hiyo station kuonyesha kwanza hio kazi mpaka itakapoisha ndio hapo wanapoweza kuanza kuuza kwa watu wengine.
Huenda kama TV za huku zikitoa Dau kubwa wanaweza wakapewa mapema, lakini hio gharama kubwa kwa soko / sponsorship wanazopata TV za huku huenda zikapata hasara