Hayo ni maswala binafsi je keshawahi kuendesha kipindi akiwa chakari? Katika hii dunia iliyojaa binadamu Ukianza kutafuta miongoni mwao apatikane malaika inawezekana malaika huenda ni wewe huna dhambiChaulevi nenda zako
AsanteClouds fm kipindi cha leo tena saa nne hadi saa saba mchana
Yupo pale pale cloudsHivi mussa Hussein yuko wapi?
Asante maana huu utitiri wa radio unatufanya sisi wasikilizaji Unatupa shida huku uraiani mara ,ebony fm e_fm times FM na nyingine nyingi ugali moto mboga moto naye kibonge tozzi ,salehe jabir kakimbia upepo wa bahari kaja kwenye honi za magari E_fmYupo pale pale clouds
Akufukuzae hakwambii toka, kidume kupelekwa LeoTena ni Kama umefukuzwaClouds fm kipindi cha leo tena saa nne hadi saa saba mchana
Dharau sana kupewa kipindi hicho.Clouds fm kipindi cha leo tena saa nne hadi saa saba mchana