Mitandao ya kijamii inaonyesha Jeshi la polisi linatumiwa vibaya na viongozi wa kisisasa waliopo madarakani, jambo la kutoleana makalipio na lugha za kutokuelewana kati ya Askofu Gwajima na kaldinali Pengo limetoa sura halisi ya Jeshi hilo kutumiwa na wanasiasa walipo mdarakani kwa kulishinikiza Jeshi hilo kuzitishia jumuia za kikristo hasa wapentekoste zinazojulikana kwa majina ya walokole ambazo zina imani ya kuwa viongozi wao wa kiroho wanaweza kutumiwa na Mungu kwa kuonya na kalipia pale panapoonekana kupotoshwa ukweli, uonezi, uonevu, pamoja na vitendo vinavyoashiria kusalitiana kwa mujibu wa BIBLIA TAKATIFU.
Pale viongozi wa kiroho wanapochukuwa hatua kama hizo ambazo zipo ndani ya itikadi ya imani zao, inatafsiriwa na Jeshi la Polisi kuwa ni Kashfa na matusi.
Lakini jambo la kushangaza katika tukio liliratibiwa na Polisi likiwahusisha viongozi hawa wa kidini wenye mtazamo tofauti wa Imani, Limekuwa na mtazamo na sura ya kisiasa hasa pale ambapo Kiongozi wa Kidini aliyelalamikiwa ametukanwa na kutolewa maneno ya kashfa hadharani Yeye hakuchukua hatua ya kutoa malalamiko yeyote kwa Jeshi la Polisi, Lakini wao Polisi wametumia tukio hili kama njia ya kumnyanyasa, na kumtendea umafia uliopelekea Askofu Gwajima kuwa mahututi hata kupelekea Askofu Huyo kulwaza chumba cha watu mahututi(ICU) hospitali ya TMJ.
Hali kama hii imeiweka Jamii ya Wakristo kuwa na mashaka na kutokuwa na imani na Jeshi la Polisi ambalo linategemewa kutoa huduma kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao, lakini kinyume chake liekuwa chazo cha kupotosha usalama na uvunjifu wa amani. Kitendo cha Askofu Gwajima kwenda kituo cha Polisi Kuitikia wito akiwa na Akili timamu na mzima wa Afya na Kuhojiwa takribani masaa 5 yenye matokeo yaliopelekea Askofu Gwajima Kutoka chumba cha mahojiano akiwa hajitambui na kukimbizwa hospitali kimeonyesha wazi Jeshi la Polisi lilikusudia mauaji kwa Askofu huyo, ambapo imesemekana baada ya vipimo vya ki-tabibu imedhihirisha Askofu Gwajima alipuliziwa sumu yenye uwezo wa kumfanya mtu kupoteza fahamu na kuharibu uti wa mgongo na Kumletea umauti baada ya siku chache.
Sisi kama wananchi wa Tanzania ambao tuna uhuru wa kuabudu kisheria dini yeyote na dhehebu lolote bila kuvunja sheria ya nchi, Jambo hili limedhihirisha waziwazi kuwa Jeshi la Polisi chini ya uongozi wa serikali limekusudia kudhoofisha ukristo kwa kuwashambulia viongozi wa madhehebu yenye washiriki wengi na wenye kusikilizwa na kuaminiwa na wananchi kwa ujumla.
Njama zinazotumiwa na serikali kuwauwa viongozi wa kidini zinaweza kuchochea vita vya wenyewe kwa wenyewe kama ilivyo katika nchi ya Nigeria. Ieleweke wazi matukio ya kuchomwa makanisa kuuwawa kwa viongozi wa Kidini yaliyowahi kutokea kipindi cha nyuma Zanzibar na Geita serikali ilikaa kimyaa wala haikuchukuwa hatua madhubuti kuhakikisha jambo hili halijirudii tena badala yake hakuna mtu hata mmoja aliyehukumiwa kifungo katika matukio hayo, Hii inadhihirisha kuwa yalikuwa ni maagizo ya serikali dhidi ya viongozi wa kidini.
Nautangazia umma wa kikristo Badala ya kuamini kuwa Tunashindana na shetani tusiyemwona ianze kuamini kuwa serikali ni shetani anayeonekana kwa macho na anauwezo uleule wa kuharibu, kuchinja, na Kuua. Endapo Askofu Gwajima baada ya kufanyiwa umafia ikapelekea mauti yake sisi moja kwa moja tutajua ulikuwa ni mpango kazi wa serikali na Jeshi la Polisi kumwaga damu za watu wasiokuwa na hatia wakitetea imani zao.
Ile tafsiri ya kusema Tanzania ni nchi ya Amani sio kweli badala yake ni amani kwa wapagani(watu wasio na itikadi za kidini). Jambo hili litachochea wakristo kutokuipa ushirikiano serikali na vyombo vyake vya usalama ambavyo vinatumiwa serikali kuwafanyia umafia viongozi wa dini za kikristo.
Kwa lolote baya litalompata Askofu Gwajima IJULIKANE NI AGIZO LA SERIKALI kwa kutekelezwa na Jeshi la Polisi.