Kwa hiyo wewe watu kupoteza maisha sio tukio? Hivi unajua maana ya hope wewe? Hope is the belief in a positive outcome related to events and circumstances in one's life...its the hope that CHADEMA has for TANZANIANS
Hivi CDM suala la Meya Arusha limewashinda kabisa? Pamoja na watu wa tatu kufariki naona na madiwani wenu kususa naona mmeshindwa na kukubali yaishe! Eti maandamano ya mikoa ya kusini unaleta swaga ya kuwambia tunataka uchaguzi wa meya arusha urudiwe,watu wa mbeya,ruvuma na umeya Arusha hakuna uhusiano kabisa! Sasa mlitaka mlete ujinga wenu tarime!? Serikali itoe tamko la nini sasa? Kuhusu hao wavamizi wa mgodi? Chadema maiti za watu sio dili ya kupata umaarufu wa kisiasa! Wajinga wakubwa mnafikiri kwa kutumia magoti

Tumefahamishwa na vyombo vya habari kuwa hawakuwa wavamizi wa mgodi na serikali (polisi) ikatoa coffins na pesa za mazishi kwa wafiwa. (Leo nimesoma mahali kuwa polisi walilazimisha wazikwe kwa kutumia coffins hizo za polisi). Itakuwaje unabadili hapa na kutufanya kuwa walikuwa ni wavamizi wa mgodi? Hata hivyo, serikali haioni kwamba kuna haja ya kutoa tamko hapa, maana jambo hili limeongelewa sana hata kuvuka mipaka ya nchi na kuwa ni polisi walifanya mauaji hayo kwa wananchi? Kuna leo na kesho, angalia jana Mladic kakamatwa na si punde atafikishwa the Hague. Viongozi hawaoni hatari hiyo? Mwisho, mimi sio mwanachama wa Chadema, ni Mtanzania wa kawaida ambaye amestushwa na vitendo vinavyotokea. Nahisi sio mimi peke yangu.
Habari za kinafik.
Dingiswayo, serikali inaona,inaamini na inalichukulia suala la mauaji ya Tarime kama mauaji mengine tu ya vibaka na majambazi mitaani. Yote hayo huwa hayatolewi matamko. Tofauti ya hili ni kwamba polisi walitoa rambirambi na wakanunua masanduku na pia walitamani sana wakazike wenyewe. Nadhani ni kutokana na taarifa fulani za kiinteligensia kutoka makao makuu.
Kaimbe taarabu wewe usitake kujifanya una akiri ya kufundisha watu hapa JF,kawafundishe viongozi wako wa Chadema
Kwa hiyo wewe watu kupoteza maisha sio tukio? Hivi unajua maana ya hope wewe? Hope is the belief in a positive outcome related to events and circumstances in one's life...its the hope that CHADEMA has for TANZANIANS
Asante kwa ushauri........ila sitaufuata
Chadema inakua karibu baada ya kuona watu wamekufa ndio timu yote ikahamia Tarime safari hii hadi Babu yenu Bepari Edwin Mtei alienda Tarime kuandaa maandamano! Mmezimwa vizuri sana Kimyaaa hakuna maandamno kama mlivyo taka! Chama kinaenda kwa matukio! CDM Hopeless kabisa!
Haya ndio mawazo yanayochelewesha ukombozi wa mtanzania. Kwa kweli, CHADEMA tunatakiwa tuongee bidii kuelimisha watu kama wewe kabla ya mabadiliko ya kiutawala.
Je serikali imeshatoa tamko lolote kuhusu mauaji ya wananchi Tarime? Natumaini kuwa hilo ndilo swali lililoulizwa kwenye hii post.Mmefikia wapi suala la Umeya Arusha? Mtaandamana tena arusha?
Mmefikia wapi suala la Umeya Arusha? Mtaandamana tena arusha?