Tamko la ACT Wazalendo baada ya wabunge wa upinzani kufungiwa

Babu wa Kambo

JF-Expert Member
May 2, 2016
559
808
hulalala.jpg

Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabungeEasther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano wa nne.

Wabunge Pauline Geku, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wamepewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa tatu na Mbunge John Heche hatohudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu. Makosa hayo waliyafanya mkutano wa pili mwezi January.

Baada ya adhabu hiyo kwa wabunge, ACT Wazalendo wametoa tamko lao ambapo wameyazungumza haya………>>>’Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kitendo cha ugandamizaji wa demokrasia kilichofanywa na wabunge wa CCM kwa kuwasimamisha ubunge wabunge wa upinzani akiwemo kiongozi wa chama chetu Zitto Kabwe’

>>>’Katikati ya masikitiko hayo tunafarijika kuona wabunge hao wameondolewa kwa sababu ya misimamo yao ya kutetea maslahi ya wananchi’

>>>’Tungesikitishwa zaidi kama mashujaa wetu hawa wangeondolewa bungeni kwa sababu ya ulevi au wawe sehemu ya wagonga mihuri ya masuala ya hovyo hovyo yanayosimamiwa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM)’

>>>’Kwa sababu hiyo ya kusimamia maslahi ya wananchi sisi kwetu ni mashujaa na kwa maana hiyo Chama chetu kinaandaa maandamano makubwa jijini Dar Es Salaam kuwapokea mashujaa wa wananchi’
 
Pia hatunge sikitika kama wangekuwa wamewatukana na kuwadhalilisha wanawake kama ilivyo tokea kwa wabunge wa Ccm kutukana wapinzani. Kwa kamati ya maadili hilo sio kosa kwao.
 
hulalala.jpg

Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabungeEasther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano wa nne.

Wabunge Pauline Geku, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wamepewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa tatu na Mbunge John Heche hatohudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu. Makosa hayo waliyafanya mkutano wa pili mwezi January.

Baada ya adhabu hiyo kwa wabunge, ACT Wazalendo wametoa tamko lao ambapo wameyazungumza haya………>>>’Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kitendo cha ugandamizaji wa demokrasia kilichofanywa na wabunge wa CCM kwa kuwasimamisha ubunge wabunge wa upinzani akiwemo kiongozi wa chama chetu Zitto Kabwe’

>>>’Katikati ya masikitiko hayo tunafarijika kuona wabunge hao wameondolewa kwa sababu ya misimamo yao ya kutetea maslahi ya wananchi’

>>>’Tungesikitishwa zaidi kama mashujaa wetu hawa wangeondolewa bungeni kwa sababu ya ulevi au wawe sehemu ya wagonga mihuri ya masuala ya hovyo hovyo yanayosimamiwa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM)’

>>>’Kwa sababu hiyo ya kusimamia maslahi ya wananchi sisi kwetu ni mashujaa na kwa maana hiyo Chama chetu kinaandaa maandamano makubwa jijini Dar Es Salaam kuwapokea mashujaa wa wananchi’
Cc:MOTOCHINI
Cc:mcubic
 
Ok sawa at last leo ACT wameungana na wapinzani wengine kupinga. Kweli mkuki mchungu kwa binadamu.
Bila kusahau kuna yale magari 700 ya washawasha hayajafanya kazi mpaka sasa na yameotakutu sasa wawe,makini na maandamano. Maaana hawa watawala wamejimilikisha nchi wengine hawana haki.
 
Kweli Tanzania ni kisiwa gani sasa? Nusu udikteta, nusu Demokrasia...bora sasa mfumo uamue moja au kuwa baridi au moto...
 
CCM WANATURUDISHA ENZI ZA UKOLONI,WANATAMANI KUFUTA VYAMA VINGI.YAANI HAWA NI WAKOLONI WEUSI.
 
masikini zittoooooo!!!!!! kabigwa ban ya adabu, hahaha mlilia sana utawala uliopita kuwa "rais dhaifu", nafikiri ndo mjifunze kuwaita wenzenu wadhaifu. btw polen sana ACT, kwa hiyo kwa sasa hamna hata kiti kimoja mjengoni au mmebaki na vingap???
 
Hiyo kiki nzuri sana. Zitto anataka aimeze Chadema kabla ya 2019. Nina hakika Chadema hawataungana na ACT katika maandamano hayo haramu.
 
ila zitto ana ugomvi mkubwa sana na kitwanga et anasema "......tungesikitishwa zaidi kama tungeondolewa kwa sababu ya ulevi ......." hahaha zitto unautani sana na wazir kilevi.
 
Ok sawa at last leo ACT wameungana na wapinzani wengine kupinga. Kweli mkuki mchungu kwa binadamu.
Bila kusahau kuna yale magari 700 ya washawasha hayajafanya kazi mpaka sasa na yameotakutu sasa wawe,makini na maandamano. Maaana hawa watawala wamejimilikisha nchi wengine hawana haki.
Umenikumbusha matukio ya m7 alivyo mfanyia kiza besigye
 
Kweli hii ni shida ukiwa na viongozi wasio na maono ni hasara kubwa sana kwa Taifa.
Jk alilazimika kutumia kila analo weza ili ahakikishe ccm inabakia madarakani maana kwa tunayo yashuhudia ya kina lugumi ingekuwa ni serikali ya chama cha upinzani sasa hivi tungekuwa tunaongelea habari nyingine
 
hulalala.jpg

Baada ya Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge kuwatia hatiani wabunge saba kwa makosa mbalimbali ikiwemo kudharau madaraka ya bunge ambapo wabungeEasther Bulaya na Tundu Lissu wameadhibiwa kutokuhudhuria vikao vilivyobaki vya mkutano wa tatu na vikao vyote vya mkutano wa nne.

Wabunge Pauline Geku, Halima Mdee, Zitto Kabwe, Godbless Lema wamepewa adhabu ya kutokuhudhuria vikao vyote vilivyobaki vya mkutano wa tatu na Mbunge John Heche hatohudhuria vikao kumi vya mkutano wa tatu. Makosa hayo waliyafanya mkutano wa pili mwezi January.

Baada ya adhabu hiyo kwa wabunge, ACT Wazalendo wametoa tamko lao ambapo wameyazungumza haya………>>>’Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kitendo cha ugandamizaji wa demokrasia kilichofanywa na wabunge wa CCM kwa kuwasimamisha ubunge wabunge wa upinzani akiwemo kiongozi wa chama chetu Zitto Kabwe’

>>>’Katikati ya masikitiko hayo tunafarijika kuona wabunge hao wameondolewa kwa sababu ya misimamo yao ya kutetea maslahi ya wananchi’

>>>’Tungesikitishwa zaidi kama mashujaa wetu hawa wangeondolewa bungeni kwa sababu ya ulevi au wawe sehemu ya wagonga mihuri ya masuala ya hovyo hovyo yanayosimamiwa na serikali ya chama cha Mapinduzi (CCM)’

>>>’Kwa sababu hiyo ya kusimamia maslahi ya wananchi sisi kwetu ni mashujaa na kwa maana hiyo Chama chetu kinaandaa maandamano makubwa jijini Dar Es Salaam kuwapokea mashujaa wa wananchi’

Safi sana ACT Wazalendo! Kwa CCM matusi siyo makosa!. Niimani yangu Wanawake wengi watajitokeza kulaana uendeshaji Mbovu Bunge kupitia Naibu Spika na upendeleo wa Kamati ya Maadili ,Haki na Madaraka ya Bunge.
 
Kwa nini Kambi ya upinzani wanaweka mayai yao yote kwenye kapu mmoja. Ni mikikati mibovu sana katika medani ya kisiasa
 
Tatizo ni kuwa walikiuka kanuni na taratibu za majadiliano bungeni ,hawakusimamishwa na CCM ila ni kamati ya maadili ya bunge .Sheria na kanuni lzm zifuatwe period.
 
Bahati nzuri wamesimamishwa kwa sababu ya kutetea maslahi ya nchi, siyo kwa sababu ya ulevi wala kugonga mihuri ya hovyo hovyo kwenye mikataba ya kuwanyonya wananchi.
 
Back
Top Bottom