watu wengine bwana!!?? c ungie uangalie website yao! muda ulitumia kuandaa thread si ungepata majibu ya uhakika kama ungeingia huko[/QUOTE
watu wengine bwana!!?? c ungie uangalie website yao! muda ulitumia kuandaa thread si ungepata majibu ya uhakika kama ungeingia huko
Ustaarabu haununuliwi. Ona aibu bhana, ukimjibu vizuri unapungukiwa nini??