cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 26,776
- 73,522
Umakini sijui mmeutupa wapi?
Mimi na nani?
Umakini sijui mmeutupa wapi?
Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.[/ Mkuu hiki sio kipaule cha chama, tuache kununua wabunge na madiwani tuajili walimu!!!! Hujui vipaumbele wewe?
Suala la ukosefu wa ajira Serikali ya CCM inalitambua ndio maana kwenye Ilani yake liko addressed na kwa vitendo tunaona Serikali inavyolishughulikia. Viwanda vimeongezeka, kupeleka umeme hadi vijijini ni sehemu ya kuongoza wigo wa watz kujiajiri kwa kufungua viwanda vidogo huko hata vya kusaga unga n.k. Tatizo lenu kufikiri mmemuachia Lema.Uliona ile interview ya nafasi za afya jeshini pale Lugalo watu walivyojaa??
Wewe mwenzetu unatumia kipimo gani kuona hakuna ajira mtaani??
Ngoja suala la kukosa ajira limkute ndugu yako ndiyo utajua kama ukosefu wa ajira upo au laa?
Suala nyeti kama hili la ukosefu wa ajira wewe unaingiza siasa, usidhani kila mtu anayetoa maoni tofauti na yako tayari ni mwanasiasa kama ulivyo wewe.kupeleka umeme hadi vijijini ni sehemu ya kuongoza wigo wa watz kujiajiri kwa kufungua viwanda vidogo huko hata vya kusaga unga n.k. Tatizo lenu kufikiri mmemuachia Lema.
Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Kwahiyo wakiondoka kurudi chuoni wanafunzi watabaki na nani?......Mimi ningeshauri serikali kama hawana pesa, waalimu wapo wengi mtaani, itangaze volunteers wakujitolea kwakuwalipa subsistance tu bila ajira ya kudumu na pia iwahidi kuwajili ikipata pesa . Mbona watajitokeza wengi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili picha soon Sterling atafia kwenye maua!
Mkuu dadavua wenye sup wakiwa vyuon au waliowah kupata sup ??Enzi hizo hadi wenye sup walikuwa wanaajiriwa, kwakweli ilikuwa raha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili zako zipo kwapaniNi vizuri
Itawasaidia kujijenga na kupata kazi mbeleni kwa kuwa na cha kuongezea kwa CV zao.
Inaonekana una akili ndogo sana. Halmashauri zinatoa mikopo kwa watu ambao wakiungana wanapewa hela kutegemeana na andiko la mradi wao. Hio Mil 7 ni pesa ndogo sana. Wewe kama huna ajira toka ndani ingia mtaani jichanganye na wana utapata dili usiangalie kama una degree au vipi...toka kwenye mitandao ya kijamii huku sisi tunaingia kupumzika baada ya majukumu ya kazi.Suala nyeti kama hili la ukosefu wa ajira wewe unaingiza siasa, usidhani kila mtu anayetoa maoni tofauti na yako tayari ni mwanasiasa kama ulivyo wewe.
Hivi unajua gharama za kufungua kiwanda cha kusaga unga pekee si chini ya 7+ milioni?? Huo mtaji anatoa wapi??
Huo ndo ukweli misaada ya elimu kutoka nje ya nchi hakuna tena na shillingi yenyewe inaporomoka kwa kasiIna maana kwa sasa serikali yetu haina pesa?
In God we Trust
Huo ndo ukweli misaada ya elimu kutoka nje ya nchi hakuna tena na shillingi yenyewe inaporomoka kwa kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalau umeongea jambo kwa vijana wenzako.Inaonekana una akili ndogo sana. Halmashauri zinatoa mikopo kwa watu ambao wakiungana wanapewa hela kutegemeana na andiko la mradi wao.toka kwenye mitandao ya kijamii huku sisi tunaingia kupumzika baada ya majukumu ya kazi.
Haya kaka. Tuko pamoja.Angalau umeongea jambo kwa vijana wenzako.
Kwa umri wangu saivi nakula pension tu labda kama unataka tugawane
Yaan walikuwa wanapata ajira hd walio na sup, mtu ana kimeo lkn jina linatoka kapangiwa kituo. Na hii imewatesa wengi kwsbb baada ya kupata ajira walibweteka wakashindwa kwenda kumalizia vimeo vyao kwhy hawakuwa na vyeti.Mkuu dadavua wenye sup wakiwa vyuon au waliowah kupata sup ??
je kama ni walio wah kupata sup ni kwel kua ukipata sup huwez ajiliwa???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajitolee bure!wafundishe bila malipo!hakika CCM nchi imewashinda!Nyeti hii imepenyezwa kutoka UDOM. Wanafunzi Wanaosoma education wameambiwa wajitolee kufundisha bila malipo kwa muda wote wa likizo Hii fupi itakayoanza rasmi mwezi March. Wameahidiwa kupewa vyeti na Tamisemi endapo watatekeleza zoezi hilo.
My note:
Serikali inatambua uwepo wa uhaba wa walimu. Kwa nini sasa isiajili wakati jemedari mkuu anatamba kila kukicha kuwa hazina kuna mafungu ya kutosha?
Je, hivyo vyeti vitakuwa na impact gani kwa hao vijana?
Serikali iache ubabaishaji, mtaani kuna walimu waliohitimu mafunzo tangu mwaka 2015. Badala ya ubabaishaji wa Aina hii ni vyema ikawaajili hao Vijana.
Akili zako zipo kwapani
In God we Trust