Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,958
Ajira ya ualimu imevurugika sana !Lengo hasa ni kuwashusha wale wa arts wa secondary waende msingi
KabisaAjira ya ualimu imevurugika sana !
sawa kabisakwa maoni yangu naona ni sawa kwa kiasi fulani tukiachana na habari za ajira mpya. Mwalimu mwenye shahada ya uzamili kuendelea kufundisha shule ya msingi ni kumdhalilisha. waende hatua ya juu zaidi wakafundishe Secondari.
Kama una cheti una cheti tu haitabadilika kama hujaenda kusoma zaidi.Staff kamwe hatagawanyika kwasababu kila mmoja ameajiriwa kwa elimu aliyokuwa nayo.Wa art(stashahada nk) sekondari wanashushwa msingi kufundisha na wenye shahada za uzamili(art pia ?)walioko msingi wanapandishwa sekondori kufundisha !.Msingi watabaki wa vyeti na stashahada,mbona hii itakuwa vurugu kazini? Wa vyeti watajihisi ni wanyonge dhidi ya wenye shahada.Staff zitagawanyika linapokuja suala la uwajibikaji.
wengi wao hawapendikwa maoni yangu naona ni sawa kwa kiasi fulani tukiachana na habari za ajira mpya. Mwalimu mwenye shahada ya uzamili kuendelea kufundisha shule ya msingi ni kumdhalilisha. waende hatua ya juu zaidi wakafundishe Secondari.
Hawajalazimishwa kunako huko, wengi wanapenda na hawataki kabisa kusikia sekondari. Kwa kuwa ngazi za mishahara ni zile zile kutegemeana na elimu na muda uloanza kazi. Sasa kuna haja gani?Kumuacha mwalimu mwenye Msc,afundishe shule ya msingi,ni ubadhrifu wa taaluma
ni kweli. wengi wao vichwani wapo empty sana pamoja na kuwa wana Masters. si unajua shule zao wengi ni za kuunga unga kuanzia QT, Grade A, Diploma, then Bachelor na Masters za Open na akina Eckernforde University na wengine wanaofanana na hao.wengi wao hawapendi
ni kweli. wengi wao vichwani wapo empty sana pamoja na kuwa wana Masters. si unajua shule zao wengi ni za kuunga unga kuanzia QT, Grade A, Diploma, then Bachelor na Masters za Open na akina Eckernforde University na wengine wanaofanana na hao.Hawajalazimishwa kunako huko, wengi wanapenda na hawataki kabisa kusikia sekondari. Kwa kuwa ngazi za mishahara ni zile zile kutegemeana na elimu na muda uloanza kazi. Sasa kuna haja gani?
HILI SIONI KAMA NI KITU CHACKUTANGAZIA WANANCHI NDIO KAZI ZENU ZA KILA SIKUDar es Salaam. Serikali imeanza uhakiki wa walimu wenye Shahada ya Uzamili ya Elimu wanaofundisha shule za msingi.
Uhakiki huo ulioanza Januari 22,2018 unatakiwa kukamilika Januari 31,2018 na unasimamiwa na Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Akizungumza na MCL Digital le ? KAo Jumatatu Januari 29,2018 Katibu Mkuu- Tamisemi, mhandisi Mussa Iyombe amesema uhakiki huo unalenga kupata idadi ya walimu wenye Shahada ya Uzamili ya Elimu waliopo shule za msingi ili kuwa na taarifa zao na watakapohitajika sekondari wapelekwe.
“Tunataka tupate idadi kamili ya walimu wenye masters (Shahada ya Uzamili) ambao wapo shule za msingi,” amesema Iyombe.
Maelezo ya Iyombe yanatokana na barua yake ya Januari 22 aliyoitoa kwenda kwa makatibu tawala wa mikoa Tanzania Bara iliyokuwa na kichwa cha habari ‘orodha ya walimu wenye shahada ya uzamili ya elimu wanaofundisha shule za msingi.”
Katika barua hiyo, Iyombe anasema “Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu. Ofisi ya Rais -Tamisemi inafanya zoezi la ukusanyaji wa taarifa muhimu za walimu wote wenye Shahada ya Uzamili ya Elimu waliopo katika shule za msingi.”
“Kwa barua hii, mnaombwa kuwataka wakurugenzi wa mamlaka za Serikali za Mitaa ndani ya mikoa yenu kukamilisha taarifa za walimu hao kwa kuzingatia muundo (template) wa kukusanyia taarifa hii (umeambatishwa).”
Iyombe ametaka taarifa hizo ziwasilishwe Ofisi ya Rais- Tamisemi kabla au ifikapo Januari 31.
Chanzo:Mwananchi
Na mimi ndo nashangaa eti wapelekwe sekondari na elimu zao za kuunga unga. Secta ya elimu ndo ina watu ufahulu hafifu ila sababu kuu ni kutokana na kuwepo malipo kiduchu.ni kweli. wengi wao vichwani wapo empty sana pamoja na kuwa wana Masters. si unajua shule zao wengi ni za kuunga unga kuanzia QT, Grade A, Diploma, then Bachelor na Masters za Open na akina Eckernforde University na wengine wanaofanana na hao.
Tatizo wanaweza wapandisha na kuwapeleka secondary lkn malipo yao yakawa ni yaleyale.kwa maoni yangu naona ni sawa kwa kiasi fulani tukiachana na habari za ajira mpya. Mwalimu mwenye shahada ya uzamili kuendelea kufundisha shule ya msingi ni kumdhalilisha. waende hatua ya juu zaidi wakafundishe Secondari.